ZANTEL YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA MOBILE 360 AFRICA JIJINI DAR ES SALAAM - FINANCIAL-24
Meneja wa Kitengo cha chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (kulia) akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia ya simu ili kufikia maendeleo endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mwakilishi kutoka Idara ya Mambo ya nje na biashara Australia Dan Woods.
Meneja wa Kitengo cha chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (kushoto) akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia ya simu ili kufikia maendeleo endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Meneja wa Mawasiliano wa Tigo Tanzania Woinde Sismale.
Meneja wa Kitengo cha chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (katikati) akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia ya simu ili kufikia maendeleo endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es salaam. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Safaricom Eunice Mumma.
Mwakilishi kutoka Idara ya Mambo ya nje na biashara Australia Dan Woods
akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali Afrika Mashariki wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kukuza matumizi ya teknolojia ya simu ili kufikia maendeleo endelevu ulioandaliwa GSMA Mobile 360 Africa kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jana jijini Dar es salaam Pamoja nae ni Meneja wa Kitengo cha chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa.
This is the article ZANTEL YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA MOBILE 360 AFRICA JIJINI DAR ES SALAAM - FINANCIAL-24 this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.
Title : ZANTEL YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA MOBILE 360 AFRICA JIJINI DAR ES SALAAM - FINANCIAL-24
link : ZANTEL YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA MOBILE 360 AFRICA JIJINI DAR ES SALAAM - FINANCIAL-24
0 Response to "ZANTEL YASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA MOBILE 360 AFRICA JIJINI DAR ES SALAAM - FINANCIAL-24"
Post a Comment