WAZIRI MWAKYEMBE APAMBA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA DAR GYMKHANA - FINANCIAL-24

WAZIRI MWAKYEMBE APAMBA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA DAR GYMKHANA - FINANCIAL-24 - about Business news, FINANCIAL-24, we has prepared this article well for you to read and retrieve information in it. Okay, happy reading.

WAZIRI MWAKYEMBE APAMBA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA DAR GYMKHANA - FINANCIAL-24

Nahodha wa mchezo wa Gofu wa Klabu ya Dar Gymkhana Akhil Yusufali akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.  
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakeyembe akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa klabu ya Dar es salaam Gymkhana, Walter Chipeta akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.  
Mkurugenzi Mkuu wa Britam Insurance Tanzania, Godfrey Lokonyo akikabidhi zawadi kwa mshindi wa Mchezo wa gofu divisheni C, Simon Mwangi wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.  
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akimpongeza Nahodha wa mpira wa miguu wa Klabu ya Gymkhana Aliabid Mamdani (kulia) baada ya timu yake kuibuka washindi wa jumla katika michuano iliyofanyika hivi karibuni katika kuadhimisha ya miaka 100 ya klabu ya Gymkhana. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jana wakati wa kilele cha maadhimisho hayo jijini Dar es salaam. Anayeshuhudia kushoto ni Mwenyekiti wa klabu ya Gymkhana Walter Chipeta.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Dar Gymkhana, George Kritsos wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 100 ya Klabu ya Dar es salaam Gymkhana yaliyofanyika jana jijini Dar es salaam.  
Wageni waalikwa
Burudani ya muziki toka kwa Msanii maarufu Grace Matata

This is the article WAZIRI MWAKYEMBE APAMBA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA DAR GYMKHANA - FINANCIAL-24 this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.

Title : WAZIRI MWAKYEMBE APAMBA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA DAR GYMKHANA - FINANCIAL-24
link : WAZIRI MWAKYEMBE APAMBA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA DAR GYMKHANA - FINANCIAL-24

0 Response to "WAZIRI MWAKYEMBE APAMBA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA DAR GYMKHANA - FINANCIAL-24"

Post a Comment