NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA - FINANCIAL-24
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya benki hiyo mjini Kahama, Shinyanga jana. Klabu hiyo imeanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Katikati ni mmoja wa wateja, Salum Selemani na Joshua John (kulia), Ofisa Masoko wa Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) kutoka ofisi ya Mwanza.
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto), akizungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa mjini Kahama, katika semina iliyoandaliwa kabla ya uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya NBC hiyo iliyoanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Hafla ya uzinduzi ilifanyika mjiini Kahama, Shinyanga jana.
Meneja wa Kanda wa NBC, Daudi Mfalla (kulia), akizungumza wakati akizungumza katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya NBC iliyoanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Wafanyabiashara wadogo na wakati wa NBC, Evance Luhimbo.
This is the article NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA - FINANCIAL-24 this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.
Title : NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA - FINANCIAL-24
link : NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA - FINANCIAL-24
0 Response to " NBC YAZINDUA KLABU YA BIASHARA MJINI KAHAMA - FINANCIAL-24"
Post a Comment