MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO - FINANCIAL-24
Mwenyekiti wa Klabu ya Gymkhana, Walter Chipeta (kulia) akikabidhi kikombe kwa nahodha wa timu ya mpira wa miguu wa klabu ya Gymkhana Ali Mmandi (mwenye jezi ya kijani) baada ya timu yake kuibuka kidedea katika michuano ya kuelekea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya klabu hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Gymkhana jana jijini Dar es salaam.
Mchezaji wa mpira wa Golf Lwarence Pangani akishiriki katika michuano ya kuelekea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya klabu ya Gymkhana inayoendelea katika viwanja vya Klabu hiyo jijini Dar es salaam.
Mchezaji wa Tennis Jitendra Singh akishiriki katika michuano ya kuelekea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 100 ya klabu ya Gymkhana inayoendelea katika viwanja vya Klabu hiyo jijini Dar es salaam.
This is the article MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO - FINANCIAL-24 this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.
Title : MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO - FINANCIAL-24
link : MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO - FINANCIAL-24
0 Response to "MICHEZO MBALIMBALI YAENDELEA GYMKHANA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA KLABU HIYO - FINANCIAL-24"
Post a Comment