HUU NI ZAIDI YA UKARIMU KUTOKA KWA VODACOM TANZANIA FOUNDATION - FINANCIAL-24
Kampeni ya Ukarimu wa Vodacom imendeelea kuwafikia watanzania maeneo mbalimbali nchini Tanzania na kuwafuturisha katika mfungo huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo kampeni hiyo ina lengo la ukarimu, ushirika na utoaji katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan na katika maisha ya kila siku.Huduma hii pia ina lengo la kuendeleza mshikamano inawawezesha Waislamu na Watanzania kwa ujumla kujiunga na kifurushi kinachowapatia muda wa maongezi, SMS na kuwawezesha kupiga simu BURE wakati wakisubiri muda wa kula daku, kugawa tende pamoja na maji. Pia huduma hiyo inawakumbusha muda wa kuswali na kuwapatia Mawaidha na Hadith. Ili kujiunga na huduma hii mteja anapiga *149*01# kisha anachagua aina ya bando kulingana na uwezo wake wa kifedha, kuna bando linalodumu kwa saa 24 na lingine linadumu kwa siku 7.
This is the article HUU NI ZAIDI YA UKARIMU KUTOKA KWA VODACOM TANZANIA FOUNDATION - FINANCIAL-24 this time, hopefully can benefit for you all. well, see you in other article post.
Title : HUU NI ZAIDI YA UKARIMU KUTOKA KWA VODACOM TANZANIA FOUNDATION - FINANCIAL-24
link : HUU NI ZAIDI YA UKARIMU KUTOKA KWA VODACOM TANZANIA FOUNDATION - FINANCIAL-24
0 Response to "HUU NI ZAIDI YA UKARIMU KUTOKA KWA VODACOM TANZANIA FOUNDATION - FINANCIAL-24"
Post a Comment